Alafu lungs zina lungs ufala unlike Liver, haiwezi ji heal itabidi nijipange hapa naona niki hang boots. I just wanna say thanks kwa wale wamekuwa wakini support in this difficult moments God awa bless tu sana.
“Hii imeenda” literally. My left lung has totally collapsed nimebaki na moja. In 2021 i was diagnosed with TB ya lungs ikasosi lungs kabisa. 2022 nikapata TB ya throat nayo ikanimaliza sauti, Running, walking, kuongea ni shida…….