@ReubenMlay@nhiftz @umwalimu @DocFaustine @TZ_MsemajiMkuu Mr Mlay hospitali ya Sanitas iliondolewa kutokana na kutotekelezwa kwa masharti ya mkataba yaliyowekwa baina ya pande mbili. Hivyo kwa sasa hospitali hii haitoi huduma kwa wanachama hadi hapo makubaliano yatakapofanyika tena. Tembelea vituo vingine vya jirani upate huduma