Kwa upande wangu naona serikali inaweza kuidaka vizuri fursa hii kwa kumwachia Lissu ili kupata reconciliation na jumuiya ya kimataifa inayoibana hadi kutoa ultimatum ya mwezi mmoja kumaliza kesi ya Lissu.
Hii haitakuwa udhaifu kwa serikali bali utakuwa ni ukomavu ambao utaweza kutufungulia tena fursa za uchumi pamoja na mikopo nafuu
End of night rant hoofmen
@nulphin @josephmahando Kuna CDF na CPF kwa maana kwamba chief of defence force and chief of police force hawa ni watu ambao hakuna anayefanya kazi chini ya mwenzie ila CDF anakuwa mkubwa kwa sababu yeye ndo anajeshi kubwa
Kama tulivyohakikisha HAKI INASHINDA kwa Mwabukusi basi hili itakuwa mara 10.
WEWE MAFWELE UNAMPONZA Mama wa watu. #FREESOKA#samiaMustGo
GEN Z repost 200 fasta🫡🔥
Usikute NGEDERE na BUNDI wanatumika kututoa kwenye ajenda kuu tukiwa tumebaki na siku moja tuu. #VoteForMwabukusi
Naomba repost 200 kwanza za kukumbushana ajenda kuu.🔥🔥
Tunahitaji kiongozi anayejua Nini maana ya Utawala wa Sheria, Kiongozi ambaye anathamini Haki za wengine, kiongozi anayeishi Maisha ya wananchi. Tunaendelea kuwaomba TLS mumchague huyu @Mwabuk2Boniface awe Rais wa Chama chenu Kwa manufaa ya Taifa Zima. Repost kama unamkubali.
CHADEMA, ili kuepuka "conflict of interest" ya CC, si mnaweza kuitisha Baraza Kuu, halafu wajumbe wa Kamati Kuu, akiwemo M/Kiti, washiriki kikao tu lakini wasipige kura ya maamuzi. Hapa mtakuwa mmelinda ibara 7.7.11 ya Katiba ya chama, lakini mtaepuka ule mtego wa "Law of Impartiality"!
Kwa sababu, kwa mujibu wa kanuni za chama, kwenye upigaji wa kura ya maamuzi kinachozingatiwa ni AKIDI na sio nani amepiga kura na nani hajapiga! CC ina wajumbe 34 & Baraza Kuu lina 456. Akidi ni kati ya 50 - 75% ya wajumbe, ambayo hata kama CC haitopiga kura, bado AKIDI itakuwa imetimia.
Huu ni ushauri tu, lakini nami niko hapa kujifunza. 🙂
#REPOST💥
Kamwe usiwe na mazoea na kanji! Sio BABA AKO, PINNED POST KUNA SILAHA ZOTE ZA KIVITA kumuangamiza, achana Na Kalio La Amber Lulu Ishi na Uelekeo Wa Kidole chake REPOST kisha ukachukue Ulaji Pale.
RT⬇️
-LEO TUNASHUSHA VYUMA TENA💥
@Sativa255@goligani@kiichefuchefu
Nini kinaendelea Africa magharibi?
Na kwanini mapinduzi ya kijeshi yametokea mfululizo tena yakiwa na uungwaji mkono mkubwa toka kwa raia?
Na nini maana ya mapinduzi haya na yanaleta picha gani?
#UZI 🧵