Nyie kina dada mnisaidie hivi suala la kusuka tu nywele msuko mzuri wa kisasa saloon kwa sasa ni Tsh ngapi? Maana kuna mwenzenu hapa kaniomba kitita Cha Tsh elfu ishirini kabisa 20k๐๐ค
Wengine tunaposema tumekumbuka nyumbani sio kwamba tumeikumbuka nyumba yenyewe hapana mara nyingi huwa tunakuwa tumewakumbuka marafiki zetu wa utotoni tuliojenga nao nyuso za tabasamu Kwa ucheshi na michezo ya ukuaji
Juzi kuna dada nisiemjua alikosea no. akanipigia nilipopokea tu akasikika "Jose sorry nimepata laki 8 tu naomba nikutumie iyo iyo af nyingine nitamalizia Machi, namba hii inaleta jina nani?" Mtego wa Kwaresma, nachoshukuru nilivuka hicho kiunzi na leo kanitumia 20k ya Uaminifu.๐
Ni kweli leo mioyo imevunjika, machozi yameshuka, hata ndoto za Ile robo Fainali yetu tuliyoizoea imeishia njiani. Lakini hata tukiwa kwenye giza hili, Simba bado ni damu yetu. Wanasimba msikate tamaa, maumivu haya ndiyo yatakayotuandika upya. @simbasctanzania ๐ฆโค๏ธ
Mwaka flan hivi mwanetu mmoja akiwa anasoma form Six pale Bwiru Boys aliiba mhuri wa mkuu wa shule akawaandikia barua ya mwaliko wanafunzi wa Nganza Girls.
Baada ya wageni hao kuondoka kilichomkuta ndo kimenifanya nimkumbuke ๐๐๐
Kuanzia leo kwenye hiyo hiyo biashara unayoifanya jitofautishe kwa Uaminifu. Wakati wengine wanatafuta shortcut, wewe tafuta njia sahihi. Unaweza kuchelewa lakini ukafika salama.
Hotuba nyingi siku hizi zinasisitiza 'uzalendo' na Umoja Kwa Watanzania๐น๐ฟ wote, Sasa Leo niliposikia tu Shangwe kubwa nikajua Simba Mnyama mkali๐ฆ kashafanya yake! Si nikatoka na Shangwe kama lote kwenda kushangilia woyooo!๐คธ woyooo! Ghafla wananchi waliponiona wakaanza kucheka๐ญ
Hapo zamani za kale tulikuwa tunawasha data Ili tukaenjoy na kucheka huko mitandaoni ila zamani za siku hizi mbili tatu ukiingia tu mtandaoni Kwa raha zako ghafla unajikuta umetoka na huzuni zako!
Umekaa zako umepumzika jioni hii baada ya siku ya leo kuwa ndefu sana, unaamua utafute tamthiliya ya kuangalia, mimi nimeambiwa nitazame tamthiliya ya Pasar inaitwa "Ndoa" ndani yake nimekutana na mhusika anaitwa "Kiduchu", Oii itoshe tu kusema hiki kitoto akili hakina๐๐๐
Alipogonga mlango akanikuta nimejificha kwa blanketi, macho mekundu kwa njaa, sielewi kitu๐ฅฒ.. Tulikumbatiana, tukalia na kucheka kwa pamoja, kisha tukala kiporo kidogo Cha wali kama 'party kubwa'. Ndipo niligundua penye urafiki wa kweli mateso yanageuzwa kicheko cha matumaini.
Hata hivyo, vicheko vyetu viliziba pengo la umbali na njaa๐; tulicheka hadi machozi๐, kila mmoja akijifanya anaishi kifahari kumbe tulikuwa tunateseka kimyakimya.
Siku moja jamaa aliamua kunitembelea Mwanza bila taarifa,๐ณ akasafiri masaa 24 na kufika usiku.. INAENDELEA
Kuna huyo 'mwanangu sana' tuliyetengana baada ya chuo kule Mbeya-- Kila aliponipigia kulalamikia maisha: mi nilikuwa nikijidai nakula vinono, samaki fresh kila siku kumbe nashindia kiporo, Ghafla jamaa nae akawa anajivunia 'kahawa fresh' kumbe anakunywa maji ya moto na sukari..
Nilikaa kimya nikiwa nimeshikwa na butwaa, nikatambua kuwa kitendo Cha kusaidia kwa dhati hufanywa si kwa tamaa, bali kwa roho ya utu, na mara nyingine sadaka ndogo ndogo ndio zinazoacha kumbukumbu kubwa zaidi Kwa watu.๐ค๐ช
โAsante G kwa moyo wako. Sikuwa ninauza maandazi kwa sababu ya njaa, nilijifanya maskini ili nipime mioyo ya watu. Mimi ni mtoto wa kitajiri, lkn ulichonionesha nimekikosa hata kwa marafiki waliojipaka manukato ya kifahari. Tafadhali usibadilike coz moyo wako ndio utajiri wako"