@John_Pambalu Kanisa limeshindwa kupindua serikali. Kaeni na kibaraka wenu chadema mje kivingine. Maisha yanaendelea na watu wanapata haki zao ukiona umeonewa nenda mahakamani.
@PatricOleSosopi Mzee bhana anatamani apeleke maneno butiama kama wakati ulee wa mwinyi. Ila ndio basi anaropoka tu. Kuhudhuria wito wa rais sio kupokea maagizo huo ni mtazamo wako. Rais akitaka kuingilia bunge au mahakama wala haihitaji kuhudhuria wito wa wazi.