@YerickoNyerereT Kwa hiyo wewe hapo mtu akiokota risit zako anaenda kuzitangaza? Hujui kuna data protection act? Hakuna mtu ana haki ya kutangaza au kutoa taarifa za mtu bila ridhaa ya mhusika au mahakama.Umekua mbumbumbu sana now.Yaan chama lang CCM tuna kazi sana ya kuwasaidia sana nyie ha ha
@lifeofmshaba Mradi upo almost 80%+ ukamilike half bado kuna mtu anapiga tukelele twake huku online? Mbona hamsemi ajira naa fursa gan zimetengenezwa kwa wananchi kutonana na mradi huu? Ukienda na kupita kwenye jamii wananchi wanaendelea na maisha yao hawana hata time na hizo kelele mnazopiga
@_nyenjeri@lawrencekitema This is the kind of negativity most Africans put forward instead of supporting their initiative they look at them from the negative perspective.
@lifeofmshaba Mtu kula fidia aliolipwa na hatimaye akashindwa kuwekeza kwenye maisha yake inakuaje ni tatizo la mradi? Kila mtu alipewa hela yake akaipangia matumizi yake bila kuingiliwa na mtu wala mamlaka.Tunajifunza ni kua jamii yetu bado ina tatizo kubwa la financial literacy
@Mwinshehe07 Kama umezungumzia mapata to Ethiopia airline ungezungumzia mapato ya air Tanzania then onyesha faida waliopata ethiopia kutoka kwenye mapato na Air Tanza pia ilipata faida au hasara kutokana na mapato sio unafanya comparison ya mapato dhidi ya faida au hasara.Learn
@lawrencekitema But initially some Kenyans complained why a Tanzanian company wss buying a Kenyan company (Bamburi cement).They blinded themselves not to see the benefit that will come out of that transactions to benefit Kenyans.This is great lesson
@brian_mutiga Mkiwaga na bundle kidogo tu mnajua kizungu mingii with nothing significant ha ha ha. Am not a Kenyan but this round your opposition hakuna mtu wa kumnyima Ruto usingizi hapo. Currently senior politician in Kenya there is no Presidential material than RUTO.
@AnuarSaddat Roho mbaya,chuki na wivu wa kike kwa mwanaume mwenzio.Hebu tuonyeshe wewe umefanya nini kijijini kwako, umesaidia nini na umefanikiwa kiasi gani kimaisha kabla ya kuanza kumtukana na kumdhalilisha mwanaume mwenzio kisa tu amekua waziri wakati wewe hakuna kitu