Leo Julai 9, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya msingi yaliafikiwa kufanyiwa kazi na pande mbili za ACT na CCM. Hizi ni jitihada za kuondosha mkwamo wa kisiasa Zanzibar.
#ZanzibarMpya#ZanzibarMoja#MamlakaKamili