@lueshi2019@HildaNewton21 Mwenyezi Mungu amemkusudia huyu ntu kwa faida ya taifa letu, ila ndo hivyo wenye nguvu wanajitahidi kumdidimiza ila Mungu ameshampa kibali, wenye masikio na wasikie
@HildaNewton21 Kwa mwenendo huu wa mashaiidi kukosa weledi mahakamani hii kesi kwanini isifutwe tu maisha mengine yaendelee ? Maana sasa wanaaibika wao sheria zinawaelemea kila kipengere
@Jambotv_ Watupishe mapema tuwajue malruki ndani ya Chama, tutasimika viongozi sahihi wa kuendesha shuguli za CDM, uzuri hatujawahi huishiwa yani ni kama Daladala we ukishuka wengine wanapanda