A unique opportunity to gain hands-on experience in corporate and non-profit administration while contributing to community-driven development initiatives.
If you are interested in joining the team, scan the barcode below to apply!
USAID Majisafi washirikiana na Wizara ya Maji na kuwekeza zaidi ya bilioni 50 katika maji
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) kupitia mradi wa USAID Maji safi ambao unatekeleza miradi ya maji
”If you give a good idea to a mediocre team, they will screw it up. If you give a mediocre idea to a brilliant team, they will either fix it or throw it away and come up with something better.” — Ed Catmull (President, Pixar)
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungunzo na Craig Hart, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Serikali ya Marekani (USAID).
Mazungumzo hayo yalihusu ushirikiano kati ya Serikali ya Marekani na Serikali ya Tanzania katika sekta ya Maji.