Radio Kwizera (JRS/RK) is a Jesuit non-commercial regional radio which seeks to restore hope and socio-economic prosperity in the northwestern Tanzania
Viwanda vya katani na usukaji wa vikapu vitakua na kuboreka iwapo waziri wa mazingira atasimamia sheria inayopiga marufuku mifuko ya plastic. Tukisubiri mpaka aamrishwe na rais au atumbuliwe tutakuwa tumechelewa kutunza mazingira yetu na kukuza viwanda vya ndani