Wasifu wa Handley Mwafwenga umewavutia wengi, na kuibua mijadala. Ana:
⭕️Shahada za Uzamivu (PhD) 3
⭕️Shahada za Umahiri 3
⭕️Shahada ya Awali ya Sheria
Hata hivyo hajaridhika, kwani ana lengo la kuwa na shahada 10, na sasa anasoma Shahada ya Uzamivu, ya nne.
HT: The Citizen