Kuna siku hawa wamama wa ploti
waliamua kuniadd kwa
kamkutano ya kufagia
stairs,nikawaambia mi siwezi
wakasema basi nitafute njia
ingine,asubuhi nilifunga kamba
kwa chuma nikateremka chini
kama SWAT wamama walipiga nduru
ungedhani ni graduation ya
nys,mimi i can be very petty๐