Katika suala zima la kimtandao, kila mtu ana haki ya kutumia mtandao apendavyo na ni muhimu pia taarifa zako za kimtandaoni ziwe siri na sio lazima kula kitu ukiweke wazi#yourLifeyourPrivacy @defenddefenders@dorinamathayo @nkibaso@NeyNeolle
Mitandao ya kijamii imeenea duniani kote hivi sasa .Ni muhimu wakati wa matumizi ya kimtandao kuweka usalama wa hali ya juu katika vifaa vyetu ili kuepukana na waharifu wa kimtandao. #Digital security# defend defenders.@dorina mathayo @ nkibaso @NeyNeolle.

Nimejifunza zaidi katika suara la kujilinda na kihifadhi data setu kupitia zaina foundation pia Ina umuhimu mkubwa . @ZainaFoundation juu ya masuala ya #digitalsecurity#KeepItOnTz