Nimefanya kazi na Wamarekani🇱🇷 nikafanya kazi na Wahindi🇮🇳 nikafanya kazi na watanzania🇹🇿 nikafanya na wakorea 🇰🇷ninathubutu kusema Wamarekani ni watu sana🙌🤝🙏
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais WANGU MPENDWA na Mwenyekiti wa CCM taifa, Chama chenye nguvu na ushawishi 🗺️ DKT @SuluhuSamia
Hakika Leo Ni siku njema sana kwa mama yetu, Mwenyezi Mungu AKUTIE NGUVU katika majukumu yako ya kuliongoza taifa Letu tukufu #JMT