Mh @Dr_DGwajima shikamoooo sorry mama yangu mpendwa mh wangu nimeiona hiii video katika account ya juma lokote huyo kijana aliee mshika mtoto huyu akiomba msaada kuhusu matibabu ya huyo bint akiwa mbeya mama kama itakupendeza nipo chini ya miguu yako naomba serikali imsaidiee๐ญ
Naomba tushikamane kwa maombi na mchango kwa ndugu yetu anayepitia kipindi kigumu. Kila ulicho nacho, hata kidogo, kinaweza kuwa tumaini kubwa kwake. ๐๐ค
0677933081 Yas (AYOUB SIWALE)