@MankindUwezo Yule hayupo kwenye MFUMO wa kuajiriwa, GPA Ina maana Kwa sisi tulio kwenye huu MFUMO wa kutegemea kuajiriwa mzee usifanye comparison ni vitu viwili tofauti
@moses_baka34258@mangekimambi Kaka ni unaona sahihi watu wanavo shawishiwa kwenda kupoteza amani ya inchi??
Lockdown zikitangazwa tunateseka sisi WENYEWE kukaa ndani bila mahitaji