Kutoka Mbagala mpaka SIMBA na TP Mazembe. Mtanzania pekee kucheza EPL na Ligue 1 na akafunga, pekee kucheza UEFA na EUROPA na akafunga. Mbwana Samatta aliyekuwa Captain wa Taifa Stars kwa miaka 10 na akaipeleka AFCON 3, amestaafu kuitumikia Stars. Respect kwake, kweli hatumdai.
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma.
Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa.
Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya.
Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti.
Vijana wajibu wetu ni ule ule kulinda Chama hiki na viongozi wake kwa wivu mkubwa. Ajenda za Chama zitapiganiwa kwa nguvu zote.
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
🚨🔴⚪️ Bruno Guimarães deal, driven by Mikel Arteta who’s pushing to bring him in.
Deal depends on Newcastle stance but #AFC to bid again + personal terms not an issue at all.
❗️ No intermediaries: agents Bertolucci, Kia Joorabchian and Alexis Malavolta are on it all together.
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
“Hatujatendewa HAKI. Argentina wanaandaliwa kupewa kombe na wanataka Messi aendelee kuwepo kwenye mashindano. Sita itazama tena hii World Cup” Hossam Hassan, kocha wa Egypt.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
Lukaku alipowafunga Marekani alimbeza Rais Trump kwa kuonesha ishara ya Trump alivyopiga simu kwa Rais wa FIFA akataka mchezaji wa Marekani afutiwe kadi yake nyekundu. Halafu pia Lukaku akashangilia kwa kucheza kama Trump anavyocheza.
Tujifunze kitu hapa!!
Kwenye haya maisha unapofanikiwa
(Unapo-Win a goal) mtu wa kwanza ku-celebrate naye hakikisha ni mke wako au baby mama wako au mpenzi wako!!
Big lesson from JDC& Lopes❤️
Asubuhi ya leo, tarehe 4 Julai 2026, mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa. Mwili huo umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na wanachama na wafuasi wa Chadema waliojitokeza kupokea mwili.
It goes without saying that my guy Tundu Lissu’s resolve and commitment to the cause is exceptionally unbelievable!💪🏽
Hang in there and see what the Lord will do for you and the Nation🇹🇿 you dearly love.
Uwe hodari na moyo wa ushujaa.
Mungu akulinde dhidi ya hila za waovu🙏🏽
Sema Gwajima tumpe Maua yake asee, alinyooka sana, leo hii wameanza kuchanganyikiwa kila kona vitisho, hivi nyie mnawajua Genz? kuuwa mtauwa sikatai ila mtauwa wangapi?
mnatutishia na jeshi lenu la police ila mkumbuke hao mnaowatuma wakifika huku kwetu wanalia njaa tena sana
leo mmeenda mbali zaidi ety mnataka kuwatumia jwtz, nani kawaambia sisi tunatishiwa na Jwtz hao tunaheshimu tu sare zao manake wao binafsi hatuwatanbui na hatuwaogopi, msitutushe hii nchi cyo Mali ya viongozi ni Mali ya wananchi,
Najua mmekandamiza demokrasia ndio kusudi muikanyage katiba ila amini nawaambia sisi kama Genz
Fear is not our option,
Mtatuuwa sana ila spirit ya mabadiliko iliyopo ndani yetu haitakufa leo wala kesho kutwa,
cha kufanya ni mnunue risasi za kutosha, mnunue sindano za sumu nyingi za kutosha,tafuteni ma goons wengi wakutosha kama wale wa mwaipopo, na wale wa chifu uchwara,
Ila amini nawaambia hatutishiki leo kesho mpaka milele, tutadai ndugu zetu ndio ata mkituuwa ndugu zetu wasione kama tuliwapuiza #Tutakuwepo
Morocco imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali kwenye World Cup 2026. Tena imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kutinga hatua ya robo fainali mara mbili mfululizo. Hakika hiki ni kizazi cha dhahabu cha soka la Morocco.