Kule Tanga nimeona wamama wanaonunua samaki wanasema wanapitia ukatili wa kingono.
Kuna Mama anasema ukienda Feri kuchukua samaki kama hauna mahusiano na Nahodha haupewi samaki na utateseka.
Wengine wameolewa ila hakuna namna inabid wafanye hivyo ili wapate samaki
Rais wa Namibia anakuja Tanzania, na akifika lazima aende Magomeni Mwembechai aliwahi kuishi pale.
Jina la mwembechai lilitokana na mti wa maembe ambao chini pale walikuwa wanapika chai karibu kabisa na Kanisa la Wasabato ndo likaja jina la Mwembechai.
Mathew Tegis wa Pamba jiji jana amefunga Hat-tric amefikisha goli 11 sasa.
Mechi ya nne mfululizo anafunga jana, mechi ya Pamba jiji na Simba Tegis alimpiga chenga Rushine De Reuock noma sana.
Jamaa anafunga sana na mpira anajua.
Utopolo washamalizana nae huyo
UPDATES | CRDB CUP 🗞
Kikosi cha Yanga SC mara baada ya kutua Dar Es Salaam kikitokea Arusha kitaunganisha safari moja kwa moja kuelekea Mwanza asubuhi hii kwa ajili ya nusu fainali ya CRDB CUP dhidi ya Azam FC, Juni 21.
Yanga hawana muda wa kupoteza, Arusha ➡️ Dar ➡️ Mwanza.
UPDATES | NBCPL 🗞
FT. Pamba JIJI 4-0 Mtibwa Sugar.
⚽ Mathew Tegisi 18' 46' 49'
⚽️ Shaphan Siwa 44'
Mshambuliaji Mathew Tegisi anakuwa mchezaji wa pili kufunga HAT TRICK katika ligi kuu ya NBC baada ya Mossi Nduwumwe wa Singida BS aliyefunga jana dhidi ya Dodoma JIJI.
"Sijafurahishwa sana na Tegisi, alipaswa kuwa Top Scorer, ni uzembe wake.
Amejitambua baada ya kumuelezea mara nyingi kwamba ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa
Akiongeza umakini atapata magoli mengi, ni mchezaji ambaye kila mwalimu anatamani kuwa nae"
🎙️Baraza - Kocha wa Pamba
Ricardo Momo 🗣️
" Za ndani kabisa kijana kiwango kimeshuka nakutana nae sana kwenye sehemu za starehe na anaendekeza sana babies ndo maana msimu huu kiwango kimeshuka sana, mtu katoka kufikiliwa kua MVP msimu uliopita hadi kutokufikiliwa tena kwenye u MVP msimu huu"
Anaendekeza starehe, anapiga sana maji na wanawake ndo maana injury zinakua nyingi kwa sasa
-----------------
Atakua mchezaji gani huyu?
🚨 Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji
FULL TIME ⏰
Pamba Jiji 4️⃣ ➖ 0️⃣ Mtibwa Sugar
⚽ Mathew Tegisi 18' 46' 49'
⚽️ Shaphan Siwa 44'
✅ Mathew Tegisi Momanyi 🇰🇪 ni mchezaji wa pili kufunga HAT TRICK katika NBC PL 🇹🇿 2025-26 baada ya Mossi Nduwumwe 🇧🇮 aliyefunga jana.
Mkurugenzi wa mabasi ya Mwendokasi kule Mbagala anasema walileta kadi laki tano lakini kadi zinazotumika ni laki moja tu.
Saiv kadi wakileta haitauzwa kwa shilingi elfu moja bei itakuwa kubwa zaidi lengo watu watunze hizo kadi.
Tarehe 01.07.2026 huko Mbagala mjiandae
Wafanyabiashara wote wanaofanya biashara kwenye stend bubu njia ya Morogoro road kuanzia jumatatu ijayo wataondolewa.
Mfano pale Mbezi kwa Yusuph, magari saba, Luguruni na sehemu nyingine zote Wilaya ya Ubungo watatolewa.