Miaka michache iliyopita nilikutana na mtu mmoja aliyekuwa amefanikiwa sana kwenye biashara.
Tulikuwa tunaongea kuhusu pesa, maisha na mafanikio.
Katikati ya mazungumzo akaniuliza swali moja.
Swali ambalo mwanzoni lilionekana rahisi sana.
👇🏼
@FamWorld2025 Weka vizuri. Uhuru wa mwanamke ni kwa ajili ya mume wake,maamuzi yake ni kwa ajili ya mume wake, usingizi wake na afya ni kwa ajili ya Mume, Pesa za mwanamke na mali zote ni kwa ajili ya mume wake.
NB: Chochote ndani ya Ndoa ni kwa ajili ya Mume,na ndiye atapangia watoto/not
Hebu tuweke hisia pembeni.
Kijana ana miaka 27.
Ana TSh 3M benki.
Anatumia muda wake wote kufuatilia:
Dividend za hisa
Bond yields
Interest rates
Portfolio allocation
Lakini hajifunzi:
Sales
Business
Negotiation
High income skills
Miaka 10 baadaye ..
👇🏼
@EsirEid Miongoni mwa alama nzuri ambayo utawaachia Wanao Tajiri, ni wao kujua utamaduni wako na Lugha ya Kihaya kabsa. Ikishindikana basi wajue utamaduni wa Mama yao na lugha ili watoto wasije kuwa Waswahili-hawaeleweki ni wa wapi💯.