Poleni sana kwa msiba Tanzania. Kwa bahati mzuri nilipata fursa ya kuongea na Mzee Mwinyi alipokuja ubalozini bada ya kifo cha Malkia Elizabeth II. Tutamkumbuka ๐น๐ฟ
Asante Tanzania. Leo tutarudi Uingereza baada ya miaka minne nchini Tanzania. Tumekutana na watu wazuri, tumetembelea mahali pazuri na hatutasahau kamwe muda wetu hapa ๐น๐ฟ โค๏ธ ๐ฌ๐ง
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! ๐น๐ฟ
Tuadhimishe uzuri wa lugha ya Kiswahili pamoja! ๐ฃ๏ธ
Jiunge nasi katika kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiswahili! ๐โค๏ธ
Je ni kitu gani unachokupenda kuhusu lugha ya Kiswahili?
#SikuYaKiswahili#SwahiliDay#LughaYaKiswahili
Hongera sana Zamana! ๐น๐ฟ ๐ง๐ฝ
Zamana, msichana wa tanzania mwenye miaka 17 tu, amepokea award ya Mfalme Charles III, kutokana na mradi wake wa โNiache Nisomeโ
๐ Congratulations to the 2023 @PrincesTrust Award Winners!
Following last nightโs ceremony, The King welcomed the winners to Buckingham Palace to continue the celebrations and congratulate them on their achievements.
Find out more: https://t.co/ProT7EaUe6
Please find Paul Robesonโs Original Admissions form for @SOAS where he took #Swahili and later wrote why he wants to be an African. @punkistani93@Udadisi
Sikujua mpaka sasa kwamba Sir Horace Phillips, balozi wa uingereza wa kwanza wa dini ya KiJewish - alikuwa Balozi hapa Tanzania mwaka 1968. Nimefurahi sana kama mjewish mimi mwenyewe kwamba nimefuata njia yake
Very proud to honour Sir Horace Phillips, the UKโs first Jewish career ambassador, by dedicating the new โPhillips Roomโ in @FCDOGovUK King Charles Street building. 75 years since he joined the Diplomatic Service, his story and achievements remain an inspiration.
Well done to my colleagues who made it happen. I didnโt realise Jewish visibility in the FCDO mattered to me until it started to happen. Iโll try and remember to do the same for other groups
Very proud to honour Sir Horace Phillips, the UKโs first Jewish career ambassador, by dedicating the new โPhillips Roomโ in @FCDOGovUK King Charles Street building. 75 years since he joined the Diplomatic Service, his story and achievements remain an inspiration.
Happy Commonwealth Day! ๐๏ธ
Take a look at our video where we hear from ๐น๐ฟ Commonwealth #athletes, Commonwealth #scholars and Commonwealth #citizens on what the Commonwealth has done for them ๐จโ๐ ๐ ๐
#CommonwealthDay2023
Dinner with all their Excellencies the ambassadors of African countries to the U.K. at Lancaster House.
Our long term partnerships throughout Africa are driving forward security, prosperity and our common interests and values wherever possible.
@kupex20 Tunataka amani lakini tunaamini kwamba haiwezekani kabla ya Putin kutoa jeshi lake na tunaamini kwamba hatafanya na hatatafuta amani akinadhani kwamba anaweza kushinda kwa kupigana
Kwenye United Nations jana nchi 141 zilipiga kura kwa kulinda Ukraine na katiba ya UN, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Nchi 6 zilipiga kura kuunga mkono na Urusi. Ujumbe ni wazi, si ndiyo Rais Putin?
#BREAKING
Today @UN 141 countries stood with #Ukraine and voted to defend the UN Charter.
Only 6 voted with Russia.
The world remains behind Ukraine. Russia must stop its aggression and end this war.
๐ฌ๐ง Tunasimama na Ukraine๐บ๐ฆ!!
ย
Mwaka mmoja wa Urusi kuivamia ๐บ๐ฆ:
ย
๐Makumi ya maelfu ya watu wamekufa, mamilioni ya Wa๐บ๐ฆ kuwa wakimbizi.
ย
๐ซ Bei ya chakula & mafuta ๐ imepanda na uhaba wa chakula umezidi kuwa mbaya.
ย
๐ขVita ya #Ukraine inaathiri sisi sote na usalama wetu.