@mentor209@magnito_el@zungumendez Ukristo ulianza kama mapinduzi ndani ya uyahudi na mwanzo ilikuwa dhehebu ya kiyahudi yani ukristo wa kiyahudi kilichofanya ukristo iwe taasisi kamili na warumi na paulo.
Na kanisa liliazishwa siku 50 baada ya pasaka siku ya pentekoste.