@Lycaon_pictus0@INFLUENCERjr Labda Kwa sababu Mimi nimesoma na Kaka Yao Sheria pale Tudarco labda kama Kaka Yao ndio mtuhumiwa na ni mtu mzima sidhani kama anaweza kufanya Mambo ya ajabu
Nimeona hii post ya mtoto wa Kibonde akiomba “msaada” watanzania tunsaidie.
Binafsi imenifirisha sana, mtu unapambana sana kufanya kazi usiku na mchana kutafuta pesa na kutengeneza mazingira bora kwa wanao endapo utaondoka wasipate shida.
Pesa unazipata, misingi unaijenga na bado ukiondoka watoto wako wanapata shida🙌
Mpe darasa mwalimu sema setpieces za Arsenal zimeletea watu Trauma Sana hata Mimi ukitaja setpieces kitu cha Kwanza kinanijia akilini ni Kona za washenzi arsenal 🚮🚮🚮
Kama wewe una pikipiki apart from Adventure bikes, huu moto ukiuona Road achana nao. Kama hii ADV 160, hata hizo Sinoray 6 gear hazifati.l, na bei zake sio chini ya 6M mpya!! 😂😂
Waliokuzunguka wanaweza kuwa wanakuzunguka, umeelewa mama? Wengine wanasema tu slow down juu yao maana wanakujua na kuijua familia yako vizuri. Siwapendi ndio maana na sanua deal.