Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anasema licha ya Fundi Sanifu Maabara (Laboratory Technician 1) wanaofanya kazi chini ya Idara ya Elimu Sekondari kukutana na changamoto ya athari za kemikali, maslahi yao ni madogo tofauti na wa kada nyingine, hivyo wanatoa wito kuboreshewa maslahi yao.
Fuatilia zaidi https://t.co/rp3C2ZY3Dy
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu
A Betting Guru Once said, "Siku ambayo utacheka sana, cheka tu kawaida ili ubakize kicheko ambacho utacheka siku ya maumivu, ili siku ya maumivu usije ukanuna ukaanza kuwa na mood swing kiasi cha kugombana na watu" @Thereal_taivina 🧘🏽♂️
Punguza mawazo ya KIBINAFSI...projects kama hizi watu wanaandalia mpka vizazi vyao hata baada ya wao kutoweka duniani...The Legacy stays forever....
Hofu yangu ni wewe utakumbukwa kwa lipi na utakaowaacha😎
Umenunua kiwanja 10M
Umejenga vyumba 10 kwa 70M
Jumla 80M
Chumba 40,000
Wapangaji wanakuchangia 400,000 Kila mwezi
Sawa na 4.8M kwa mwaka
Itachukua miaka 17 kurudisha million 80
Itachukua miaka 34 kupata profit (2x)
Au wewe una maoni gani?