@Chamgeifm1@Kerichjoseah Good morning Daktari. Locked in Kipajit Sotik Areas. Soweto Airlines tuko locked in. Kimii ak my parents Roseline ak George Mutai with My siblings.
Kimiten
@Chamgeifm1@tiionykip Good morning JB. Locked in Sotik Kipajit Village. Niko leave kidogo. Sisi watu tunatumia flights hatufeel effect ya fuel na ukosefu wa magari π π .
Kimiten.
@Chamgeifm1@tiionykip Good morning ladies. Mombasa is listening loud and clear. If I may ask, what's the ideal age for a gentleman / lady to get married?
@citizentvkenya@LuluHassan@RashidAbdalla Kutoka Miritini Estate Mombasa, Vile naona masomo ni life investment, sio kama mahari, sasa ukimsomesha dem sio lazima ukamuoe.
@Chamgeifm1@tiionykip Shikamoo π. Nawapata live and loud sai niko Diani Beach matembezi kidogo. Jua linawaka daaah! Kuna wadigo hapa wanawaskia hata kama hawaelewi. Wachezee nyimbo moja ya giriama "napola nawe - Ricky melodies'.
ChamgeiFm to the world. kimii pamoja.

@Chamgeifm1@tiionykip@Ambasadorkwelat Good morning warembo?. Locked in Mombasa City. It's a Monday and salary week. Hangovers kwa umbali lakini kazi iendelee. Play give me your love - Girlie Mafura.
Kimii pamoja. #Ngomitunraini

@Chamgeifm1@LagatElphas Tuned in Kipajit Sotik Areas. Good morning. It's a cold morning. Sabath Njema koityi my parents George ak Roseline Mutai, my siblings Bill, Jazmineeliza ak Lawi, my Village people and all shapiks.
@Chamgeifm1@tiionykip Good morning JB. locked in Old Town Mombasa. Jua ya leo ni kali kushinda watu wa Man U π . Tunapiga biashara tu huku coast. Alafu sijui hii kusota ni kama imekuwa personal.
Drop Taya By Okello Max tupige remix moja.
@Chamgeifm1@tiionykip bytha Kunakuaga na muslims single mothers?π€..
Locked in Mikindani Estate Mombasa tunatafta hela. Jua inawaka huku banae, ukiangalia mtu yuaenda unadhani yuaja. Ukwaju baridi na chai rangi kwa umbali.
Drop Korawal Direction- Samantha Cheps.
@tiionykip@Chamgeifm1 JB, it's a very good topic to ladies, ask below questions;
1. Food affecting Mens Cycle
2. Does period have pains ama wanatudanganya? π .
3. Menses inaleta na cravings ama ni chocolate tu ndio tunanunua?
4. Advice on the safe cycle.

@Chamgeifm1@tiionykip Kuna makosa kweli nikicrushia Aisha Jumwa? Nitakuwa nimeleta shida mahali?.
Locked in Mombasa. Kuna baridi kwa umbali, kazi tu pole pole. Please drop Money is not the problem - Marumbini.
Nakupenda JB
@Chamgeifm1@tiionykip Good morning JB. It's been a while. Have missed you. Leta till lunch kwa bill yangu. Locked in Mombasa, kuna rasha rasha kidogo jua kwa umbali.
Drop Dedli Dedli ifikie all bachelor's.. Kimii pamoja.