Alikuwa mpambanaji kama wapambanaji wengine.
Unaweza kutokubaliana naye &it's okay. Unaweza kutopenda namna alivyofanya biashara zake and it's your right.
Unaweza kuhoji chanzo cha utajiri wake, mahusiano yake na wanasiasa, au maisha yake ya kifahari.
β Thread: π§΅
Desemba 2025, Zimbabwe Anti-Corruption Commission ilisema haikupata ushahidi wa kutosha wa kumhusisha moja kwa moja na udanganyifu uliodaiwa kwenye manunuzi hayo.
Huyo ndiye Wicknell.
Maisha yake hayakuwa na story rahisi ya hero au villain.
β More:β¬οΈ
Alikuwa mpambanaji kama wapambanaji wengine.
Unaweza kutokubaliana naye &it's okay. Unaweza kutopenda namna alivyofanya biashara zake and it's your right.
Unaweza kuhoji chanzo cha utajiri wake, mahusiano yake na wanasiasa, au maisha yake ya kifahari.
β Thread: π§΅
Na mara hii business mogul alikuwa supplier wa vifaa vya uchaguzi wa Zimbabwe wa 2023.
Taarifa zilizotokana na uchunguzi wa kifedha Afrika Kusini zilieleza kuhusu zaidi ya R800 milioni zilizohamishwa kwenda kwenye akaunti za biashara zilizohusishwa naye.
More:β¬οΈ
Kwenye hili swala la kupambana na ushoga ni kama Wanawake wanawakumbatia sana machoko na this is slowing down the progress, lazima tuwe makini hali ni mbaya sana. π₯Ήπ₯Ή
Huyu kijana anaonekana kuwa na access ya kwenda mbali zaidi ya hapo.
Sasa nimebaki na swali moja tu.
Who is this guy, and what exactly does he do?
Kama kuna mtu anamfahamu vizuri, tuambieni story yake.
End.