TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki. Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika. Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia. Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani. Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
Siombi huruma ya Mahakama. Sijaomba na sitaomba…”, Lissu hakusema kwa ujeuri, bali kwa msimamo. Alikuwa akilalamikia kuvunjwa kwa taratibu za kisheria na uonevu wa wazi unaofanywa na Mawakili wa Serikali na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Katika hali ya kawaida, watu wengi hukimbilia kuomba huruma ya Mahakama kwa hofu ya kifungo au adhabu. Lakini si Lissu. Kwa maneno yake, alitoa somo kwamba mtu asiye na hatia hapaswi kuwa mnyenyekevu mbele ya dhulma, bali anapaswa kusimama kidete kutetea haki yake.
Lissu amekuwa ni kioo cha mahitaji ya dharura ya mageuzi ya kweli ndani ya taasisi za haki nchini. Ametuonesha kwamba Mahakama haitakiwi kuwa sehemu ya mfumo wa kisiasa unaoonea, bali ngome ya mwisho ya wanyonge. Kwa kulikemea Dola na vitendo vyake vya kupuuzia taratibu za kisheria, Lissu hakuwa tu anajitetea binafsi, bali alikuwa anawatetea maelfu ya Watanzania wanaopitia mateso bila uwezo wa kusikika. Ujasiri wa Lissu ni mwiba kwa wale wanaotumia sheria kama silaha ya kisiasa. Ni ukumbusho kwa Mahakama kuwa heshima yake haimo katika magwanda ya majaji wala uzito wa mihuri, bali katika uadilifu wa maamuzi na kusimama na haki bila kuyumbishwa.
Hivyo basi, historia itamkumbuka Tundu Lissu si tu kama wakili au mwanasiasa, bali kama mtu aliyekataa kuinama mbele ya mabavu ya Dola. Mtu aliyechagua kusimama kwa ukweli hata pale ambapo kusema ukweli kunaweza kumgharimu uhai wake. Tanzania inahitaji Mahakama zenye heshima, lakini zaidi ya hapo, inahitaji raia jasiri kama Lissu, wanaosema: “Huruma ni ya wenye hatia, mimi nahitaji haki.”
Unakuta mtu kavaa jacket anakimbia Dar. Au mtu mnagombana ukiwasha AC gym. Joto linapunguza uwezo wa mwili kuchoma mafuta na uwezo wa kufanya mazoezi muda mrefu. Wenzetu wanavaa ma jacket kwa sababu ya baridi kali
HISTORIA YA TASK FORCE MKOA WA DARESSALAAM (Ant - Robbery Squad)
Nakumbuka wakati zinaanzishwa zilikuwa na maana sana na hitaji la watu wa Dar es Salaam, huwezi kubeza au kupuuza task force ya Polisi wakati ule, labda kama hujui historia ya uhalifu Dar es saalam.
1. Kuna wakati watu walijenga nyumba zao nzuri za kifahari Salasala, Mbezi beach, Bahari Beach, Ununio, Goba, Madale na Mbezi Makabe ila waliogopa kwenda Kuishi huko.
2. Rafiki yangu mmoja yeye alijenga nyumba nzuri Salasala ikakamilika mwaka 2008, ila amekuja kuhamia mwaka 2013 baada ya ujambazi na uporaji kutulia.
3. Aina ya ujambazi na uporaji ilikuwa ni ule wa ndani watu 30 nje watu 30, hatari sana, wanavunja nyumba moja baada ya nyingine kuanzia mwanzo wa mtaa hadi mwisho wa mtaa na hakuna cha kuwafanya.
Kwa siku zinaporwa nyumba 20 za mtaa mmoja.
4. Muasisi wa Task Force alikuwa Wambura akiwa RCO mkoa wa Kipolisi Kinondoni, pale Kanda Maalum ZCO alikuwa DCP Ahmed Msangi.
5. Walienda front wenyewe, wakabaini wahalifu, watukutu na majambazi sugu, wakakusanya silaha zote mtaani kwa operesheni au kwa kuita mhalifu mmoja mmoja.
6. Walikuwa na askari kanzu hodari vijana wadogo wenye weredi lakini nidhamu na utulivu, wasio na uchu au tamaa ya fedha kwa maisha ya mkato kama hawa wa sasa ambao wakikukuta na pesa umeisha kama hujala chuma utafungwa mfuko wa nailoni.
7. Nakumbuka nikiwa Diwani Ubungo mwaka 2010, nawakumbuka wachache sijui wapo wapi kwa sasa akina Ben Magufuli, Zablon, Mud masilver, Benja, Dullah, wakabatizwa jina la Yamoto Band na wahalifu wenyewe kwa kichapo walichokuwa wanatembezea majambazi.
Hapo unatachezea fimbo mpaka unataja bunduki ipo wapi au bodaboda umepeleka wapi?
Ila siku ya mwisho tutakukuta Segerea au Ukonga wala siyo kufungwa mfuko wa uso na kutupwa mbuga ya Selou au Katavi kama wanavyofanya hawa NAILONI JAZZ BAND au AMEPOTEA ENTERTAINMENT.
sikuwahi kusikia wana kesi ya ujambazi wa kutumia silaha wala kufunga watu mifuko ya nailoni na kwenda kutupa maiti zao.
Sikuwahi kusikia wanaushirika na matapeli wa mjini, wamedhulumiana nao halafu wanaenda kuwaua baada ya kudhulumiana migao ya pesa. Ingawa makosa madogo madogo ya kibinadamu walikuwa nayo.
8. Wambura sijui kama anakumbuka vizuri tukiwa tunakutana naye akiwa RCO usiku anaendesha Patrol sisi tukiwa tupo katika ulinzi shirikishi.
anatembea mwenyewe Kimara, Mbezi, Goba na salasala na Dar es Salaam yote.
Matajiri mtaani walikuwa wakiona Difenda za Patrol za Police usiku, mahala popote wanazikimbilia kwenda kuchangia mafuta ili waendelee kuwepo mitaani.
Siyo leo ambapo ukiona Difenda ya Polisi usiku mnene unasali kwanza sala ya mwisho na kujikabidhi nafsi yako kwa Mwenyezi Mungu
9. Kule Kwetu Kimara tulikuwa na OCD Mambosasa hadi OCD Rutumo, OC CID Ngichi baadae OC CID Bonny, Kigamboni OC CID Richard, Kawe ukutane na OC CID Malulu Dar es Salaam ile unatekwaje?
Ulikuwa huwezi kusikia askari kateka, askari kapora fedha akiwa na bunduki ya serikali.
10. Wambura anakumbuka au ndiyo uzee nao hauna adabu..?
ile intelijensia yake ya panaibiwa duka la dawa Sinza au Mwananyamala dakika tano anakwambia aliyepora pale ni "SERENGO" wa Tandale kwa Mtogole halafu sako la nyani linaanza fasta.
Leo hii wambura watu wanatekwa hajui anayeteka ni akina nani..? Au waliotekwa wanapelekwa wapi..?
Boniface Jacob
Ex-Mayor
0712 239 595
Hii ni aina ya mambo ambayo hatuwezi kunyamaza. Ni aina ya mambo yenye viashiria vya ‘ubaguzi’ wa wazi.
State crafting inataka kulinda tunu zilizoasisi Taifa. Mojawapo muhimu na kubwa ni usawa, na inclusion. Hata siku moja tusithubutu kuruhusu ama kufanya mambo yanayoigawa nchi na kuzishambulia tunu za Taifa letu kama usawa.
Yeyote anayejaribu kuwabagua wananchi wenzetu ambao bado wapo kwenye hali ya chini ya uchumi kwa namna yoyote ile tumkemee. Hatutakii mema.
SGR ni mali ya watanzania wote bila kujali hali zao na shughuli zao wanazofanya, siyo mali ya wasomi na washua tu, hata wauza kuku inawahusu.
Juzi nilitoka na mama yangu mzazi kwenda lunch pale Montana, Millenium towers, mama akanikumbusha story ya utotoni mwangu nikienda kuwasalimu baba zangu kule Goweko Mlimani nikipewa zawadi ya kuku na Shangazi zangu. Hivi leo unategemea mwanangu akienda kule akapewa zawadi ya kuku na babu zake amuache kweli?
Ukisoma autobiography ya Lee Kuan Yew, From Third World to First, The Singapore Story, anaeleza walipojenga flats na watu wakawa wanahamishwa na serikali kutoka kwenye squatters kwenda kwenye hizo flats, walikuwa wanapanda kwenye lift na ng’ombe wao! Hawakuzuiliwa. Washua waligundua ni kazi ngumu sana kukitoa kijiji kichwani, wali-accommodate mahitaji ya warugaruga. They didn’t condemn.
Taifa hujengwa namna hii sasa. Tuendelee lakini tusimuache mtu nyuma. Tujitahidi kuweka mifumo na miundo itakayowezesha kila mmoja wetu kufaidi mema ya nchi kwa urefu wa ukamba wake.
Unajua kwa nini kila anayetoboa kutoka usweken anaanza kujenga ukuta wa fence kabla hata ya nyumba, baadaye akihamia anaongezea electric fencing, CCTV cameras, security company kwa ajili ya rapid response, ananunua silaha zake anaweka chini ya mto, anafuga na German shepherds wakali, na bado kwenye milango na madirisha ameweka vyuma? Equity! Equity! Equity…my countrymen! Tuishi na wengine waishi…ukiwa na maguvu ya kumzaba mtu makofi, muachie haki yake ya kulia. Fairness! Fairness! Fairness! That’s the name of the game.
#HK #Fighter #NjeYaBox
Aliyenitumia meseji hii anaitwa Hussein Kingazi. Hussein amenikumbusha hadithi ya Biblia juu ya mjane aliyetoa sadaka ya senti za mwisho alizokuwa nazo. Yesu alisema sadaka ya mjane huyo ndio ilikuwa kubwa zaidi ya sadaka walizotoa matajiri. Ama kweli kutoa ni moyo, sio utajiri.
Happiest birthday to the love of my life. Your presence, love, and humour warm my blood. May Allah fill your day with abundant grace and blessings. Cheers to another year of you! @raiyajenerali
@GayleZoie@FahadAmirN Madam, two wrongs never make a right. Did the man disrespect his wife? Yes. Were the children wrong for addressing the issue and posting it online? Absolutely! One wrong never validates another wrong