Bado unasita kuwekeza jijini Dodoma ?
Hapa ni Mtumba maarufu kama Magufuli City
Ni 20km kutoka Dodoma mjini
Tunauza sqm 1 kwa shillingi 25,000 , mfano kiwanja cha sqm 1000 utakipata kwa 25,000,000/=
Nipigie nikupeleke hapa ukaone Mali
0656488927
Viwanja vya kwanza barabara ya lami ya Dom - Dar vinauzwa hapa Mtumba jijini Dodoma.
Vina ukubwa wa sqm 800, 2700, 3000, 4500 na Sqm 6000
Unaweza kujenga Lodge, Apartments, Supermarket, sheli au kituo cha mafuta.
Wasiliana nasi 0656488927 au 0696079036
#WekezaDodoma
Viwanja vinauzwa Michese Jijini Dodoma
Vipo km 5 kutoka Dodoma Mjini
Vipo opposite na eneo la Itega
Panafikika kirahisi
Miundombinu ya barabara ni kiwango cha lami
Maji na umeme vipo
Tayari kuna lodge na Apartments eneo hili
Wasiliana nasi 0656488927 au 0696079036
WHY YOU SHOULD INVEST IN DODOMA
Investing in Dodoma holds a unique advantage as the epicenter of Tanzania's government activities. With the strategic shift of administrative functions, Dodoma becomes not just a city but a nucleus of opportunities.
Njedengwa inakupa kila hitaji la uwekezaji wa hoteli, apartments, Lodge na hata makazi.
Kwa siku za mbele Njedengwa inakadiriwa kuwa na uwekezaji mkubwa kuanzia usanifu bora wa majengo, biashara na makao makuu ya taasisi nyingi za kiserikali na watu binafsi
Njedengwa ni Moja ya eneo la kimkakati lilopo jijini Dodoma lilotengwa kwa uwekezaji mkubwa uwe makazi au biashara.
Ikukuchukua mwendo wa dakika tano kwa gari kufika hapa kutokea Dodoma mjini na mwendo wa km 6 kufika mji wa kiserikali (Mtumba),
Je una Millioni tano na unahitaji kiwanja ndani ya jiji la Dodoma ? Karibu sana @landlai__investment tukupatie kiwanja chenye miundombinu na huduma karibu zote za kijamii.
Tutumie ujumbe wako DM au tupigie kupitia 0656 4889 27
VIWANJA VIZURI VINAUZWA NZUGUNI.
Nzuguni ni eneo la kimkakati lililo karibu na sehemu za muhimu sana ambapo lipo Km 8 kutoka Dodoma mjini na dk 2 kufika barabara inayoelekea Dar es salaam.
#Letsinvesttogether#viwanjadodoma
Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0656 488 927 au 0620 649 030 au fika ofisini kwetu Gadaffi steet karibu na Mwanga hakika Bank.
#Letsinvesttogether#viwanjadodoma
VIWANJA VIZURI VINAUZWA NZUGUNI.
Nzuguni ni eneo la kimkakati lililo karibu na sehemu za muhimu sana ambapo lipo Km 8 kutoka Dodoma mjini na dk 2 kufika barabara inayoelekea Dar es salaam.
Maeneo jirani yanayo izunguka Nzuguni ni Ilazo,Kisasa,Ihumwa,Iyumbu,Udom na yote ni maeneo yanayokua kwa kasi sana.
Kupata ushauri ya jinsi ya kuwekeza pamoja na usafiri wa kwenda kuviona viwanja hivi ni bure kabisa.
Ni viwanja vyenye ukubwa tofauti tofauti mwanzoni kabisa mwa Michese.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa kututumia ujumbe mfupi au kutupigia simu kupitia 0656488927.
Karibu @landlai__investment
Ofisi zetu zipo Gadaffi street karibu na Mwanga hakika bank
#letsinvesttogether
Je ungependa kujenga kilomita nne kutoka Dodoma mjini ambapo Kuna miundombinu pamoja na huduma zote za kijamii
Basi Michese ni Eneo zuri kwaajili yako ambapo kuna mradi wa viwanja Vilivyopimwa na kuthibitishwa na mamlama ya jiji la Dodoma
Embark on a transformative investment journey with LandLai Investment in Dodoma! 🏞️✨ If you're serious about securing your financial future, Dodoma is the place to be, and LandLai Investment is your trusted partner.
#LandLaiDodoma#SmartInvesting#ProsperWithPurpose"
ITEGA
Ni sehemu nzuri iliyo karibu kabisa na mjini umbali wa km 3,iliyotengwa kwa uwekezaji mkubwa wa nyumba za makazi na taasisi.
Hapa viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm 2400 mpaka 6000 au na kuendelea.
Vipi umependa Itega ? Basi tupigie simu 0656 4889 27.
#LandLai
Pia kuna sehemu zingine kama Ilazo , Kisasa, Mji wa Serikali, Mkalama na Iyumbu ambazo ujenzi wa Hoteli, Lodge na Apartments unafaa na unaweza kukulipa kwa uwekezaji wako.
Ili kujua fursa nyingi za uwekezaji zilizopo Dodoma wasiliana nasi 0656 488 927
#LandLai
4: MEDELI
Ni eneo lilo km 2 kutoka Dodoma mjini , Hapa ndipo Hoteli kubwa na za kifahari zote zinapatikana eneo hili mfano Morena Hotel, Nashera, Vizano, FQ . Ni sehemu nzuri iliyo karibu na taasisi nyingi za kiserikali.