KWAHIYO YANGA wasipocheza MCHEZO namba 184 LIGI KUU msimu huu uliopangwa JUNE 15 (YANGA vs SIMBA), SIMBA wanaweza KUFUNGUA MASHTAKA kwa sababu wapinzani wao wamegomea MCHEZO huo?
Mwaka 2014 kabla ya kwenda jela, Rapa Gucci Mane alimpa mpenzi wake, Keyshia pesa zote alizokuwa amebakiwa nazo $3M-Tsh B.8+ ili aweze kujihudumia akiwa jela. Gucci Mane baadaye aliachiliwa mwishoni mwa 2016 na mpenzi wake alimkaribisha kwa kiasi kikubwa cha $9M-Tsh B.24.2+