ukiona post hi Repost, ✌
Kila Mwananchi MTanzania mzalendo unakila sababu yaku Reposti 1000 ifike duniani hi post mwisho wa mateso sasa basi 🤲😭
DPP mfutie Tundulisu kesi ni uwonevu
Reposti 1000?
#MsiogopeTumeshinda
Leo nimeenda duka la madawa hata haniulizi , kashusha azuma na P2, . Kaniwekea kwenye bahasha🤒💔..Sasa kama yeye mtaalam kaona zinafaa kwanini nikatae japo mimi nilienda kwa mambo mengine.