Sio wewe pekee unayepiga hatua kwenye maisha.
Sio wewe pekee unayepitia magumu.
Kila unachokipitia, kizuri au kibaya kuna watu wengine wengi wanakipitia zaid yako!
Usijikweze wala usinyong'onyee kwa hali unayopitia. Mungu ndiye mpaji, tusichoke kumuomba na kumshukuru. TUISHI✊🏾
Dunia haitasimama kwa sababu wewe unapitia magumu. Jifute machozi, jikaze, simama imara na endelea kupambana bila kukata tamaa. Haijalishi umechoka kiasi gani, maisha lazima yaendelee.
Nimekutana na hii video. Jambo la msingi ni kwamba hii ni kabla ya ujio wa AI. Huyu Director angeshituka mapema na kuleta huu ujuzi wake wa 'uongo uongo' Kwa wakati ule, hivi Sasa utajiri wake ungekua wa kusaza. 😁😁