Sheria ya Usalama Barabarani (Sura. 168) inalazimisha dereva wa PKPK ya magurudumu ma2 au ma3 kuvaa kofia ngumu wakati wa kuendesha. Sheria ya sasa haijasema moja kwa moja kuhusu abiria, ingawa kwa uhalisia polisi wanahimiza wote kuvaa kwa usalama. Serikali pia iko kwenye โmchakatoโ wa kurekebisha sheria ili iwe lazima kwa dereva na abiria kuvaa helmet. @PeterDafi@masoudkipanya
No wonder PKPK inaweza kubeba Geti, Kabati, nk ikapita mbele ya askari lakini SUZUKI Carry haiwez kubeba fridge bila kusimamishwa๐คฃ. Mungu atusaidie
KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA WAZIRI RIDHIWANI KWA USIMAMIZI WA MIRADI YA NSSF ARUSHA
Na Mwandishi wetu: Arusha
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete kwa kuusimamia Uwekezaji wa Miradi inayotekelezwa naMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mradi wa majengo ya kitega Uchumi na Mafao House.
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Fatma Toufiq amesema miradi hiyo ikiendelea kutunzwa vema itasaidia kuleta maendeleo ya nchi kwa ujumla
Vile vile, Wajumbe wa kamati hiyo wameshauri NSSF kuendelea kuwekeza kwenye miradi yenye tija na ambayo itasaidia kuingiza kipato serikalini.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ameihakikishia kamati hiyo kuendelea kuusimamia Mfuko huo ili uendelee kutoa huduma bora kwa wanachama wa mfuko huo, pia usimamizi wa miradi iliyobeba fedha za wananchama.
Akitoa taarifa ya mradi huo Mkurugenzi wa NSSF, Masha Mshomba amesema jengo la kaloleni kwa mwaka wa fedha 2024/25 mfuko ulipanga kukusanya kiasi cha shilingi milioni 431.30 kama kodi kutoka kwa wapangaji ambapo hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2025 mfuko ulifanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 277 sawa na 64% ya lengo la makusanyo ya mwaka.
Katika upande wa jengo la Mafao House makusanyo na thamani ya jengo katika mwaka wa fedha 2024/2025 mfuko ulipanga kukusanya kiasi cha shilingi million 1,062 kama kodi kutoka kwa wapangaji na hadi kufikia tarehe 31,Januari 2025, mfuko umefanikiwa kukusanya shilinigi milioni 509 sawa na sasilimia 48 ya lengo la makusanyo ya mwaka.
@PaternusP@itskipronoh The Genius Julius Nyerere said it all. Fast forward years later here we are. So its faid to say that this problem began during Berlin Conference
โIf you can't fly then run, if you can't run then walk, if you can't walk then crawl, but whatever you do you have to keep moving forward.โ โ Martin Luther King, Jr.
@LugumiL#Mazoezinitiba
@TuliaAckson In short he called for the end of special protections for businesses in government. He declared that anyone who worked hard should be able to provide for themselves and their family, and that no one person was more entitled to special privileges than another.
I feel blessed to be surrounded by people who love and support me unconditionally. My family, friends, and partner have stood by me through thick and thin, and their unwavering support has helped me navigate the ups and downs of life.๐ค
Official, completed: Sam Lammers joins Rangers on permanent deal, four year contract signed. ๐ต #RangersFC
Talks continue over Jonathan Panzo deal as many clubs want him โ Rangers are insisting.
Man United message to Mount has been very clear in the recent days: Mason, a priority target for the club. ๐ด #MUFC
More to follow, it will be up to the clubs.
Spika wa Bunge amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Duarte Pacheco, wakati alipomtembelea katika Ofisi ndogo za Rais huyo zilizopo katika ukumbi wa Grand Mogador Menara Marrakesh, nchini Morocco leo tarehe 14 Juni, 2023.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mhe. Prof Kitila Alexander Mkumbo aongoza semina ya wabunge kuhusu sera ya elimu nchini leo tarehe 11 Juni 2023 katika ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
๐ Premier League winner
๐ Premier League Golden Boot winner
๐ Premier League Player of the Season
๐ FA Cup winner
๐ Champions League winner
Erling Haalandโs first season at Man City wasโฆ not bad. ๐ฎโ๐จ๐ง๐ผโโ๏ธ