@Vimsafiitz_ Vimawe vya tezi(tonsil stones). Usilale bila kuswaki, ukiswaki pitisha mswaki bila kutumia nguvu, ukiweza swaki kila baada ya chakula. Sukutua kwa maji, chumvi na limao asubuhi na jioni. Usikubali operation
@thomas_yona_ Homa za mara kwa mara, basically tumbo(kuharisha), kutapika exessively, kikohozi, kichwa, kubana koo..nk. But ukijiwahi ukapata ARVs ukaboost na kienyeji kupandisha CD4, miezi 3 mingi ngoma chali mpira kati.
@humphreyPallan5 Piga hesabu ya kucover
1)Kodi ya pango ya mwezi
2)Kodi ya meza mke na atleast watoto wawili(kwa mwezi)
3)Matumizi mengine(umeme,maji,nauli n.k)
4)Dharura at least 150k
Kisha watajie range between hiyo ammount na 100k juu.