Ashukuriwe Mungu kwakua napita kwenye majonzi.maana kunaviwango na kwenda kuna mahali tafika.ila pole kwa wale waliokaa kenye majonzi maana hawajui watatoka lini #usilegeemoyo
"Wengine wakilipenda ua hulichuma na wengine wakilipenda hulipalilia, huliwekea mbolea na kulimwagilia maji. Binadamu wananjia tofauti ya kuonyesha mapenzi yao juu ya kitu.mapenzi yao yanaweza kuwa furaha na faraja kwako au maumivu na majuto kwako."#usilegeemoyo
"Wengine wakilipenda us hulichuma na wengine wakilipenda hulipalilia,huliwekea mbolea na kulimwagilia maji.binadamu wananjia tofauti ya kuonyesha mapenzi yao juu ya kitu.mapenzi yao yanaweza kuwa na daraja kwako au maumivu na majuto kwako." #usilegeemoyo