Sasa wacha niwaambie vijana, mwanamke kama hii ni ya kuavoid kabisa! Jua sii wewe pekeyako ndio unasugua akiz. Sasa kama for example wewe ukipeleka msichana kama hii wewe kama kijana utaambia wasasi wako namna gani? Saa hiyo ujue manyungurus yake imejaa hii timeline. Haaya
@s1ah_wanja Kuulisa mko? Inamaanisha hakuna mnunuzi leo ama namna gani Bi Siah. Sasa mimi naulisaaje, ulisema unanionjesha Sulumbulu lini aki dia? Hata wewe unajua mimi nataka kuonja hii yako sana though najua ni baridi namna ya ile fridge ya mortuary lakini hiyo mimi haitanusumbua🥲 Asante
@SomoinaKapeen Shida yako somoina ni kujichanganya. Kama umelipwa na serikali, wewe kula pesa yako kwa amani na upanguse mdomo namna ya umbwa ikikula mufupa. Wewe hata ukitaka kulala na wao hiyo sasa ni shida yako tafazali. Asante na uwache kuseek relevance
@MkenyaMzi Sasa wacha nikuambie kitu mzee, hii ya kumeesha nywele Nairobi ni hatari sana buana. Naskia iko mahali ingine wanang'oa nywele kwa manyungrus alafu ati ndio wanakupanda kwa kichwa namna ya mchele pale mwea. Aki kaa rada sana
@polo_kimanii Lakini kimani mimi naulisaaje, apart from hiyo kas ya kuweka cctv, ni kas gani ingine wewe unafanya ya kukupea hiyo pesa yote jamani. Ndio mujue hii jamaa ni NIS, mnafaa kujiulisa maswali mingi sana namna hii, je mafuta ya iyo prado inatoka wapi, rent, fee ya kipii? Haaaya
@MillicentOmanga After hii mama kutumia ozempic kupungusa elianto, sahii amekua type yangu kabisa. Mimi naulisa tu nawesa fikia yeye namna gani jameni. Kazi ya kua bodgad yake hata nitashukuru kabisa manake huko kwetu kilgoris hao sasa ndio kusema kwa kijiji. Haya wacha mimi nijiwekelee. Asante
@Missmurima Lakini kusema tu ukweli vijana wenzangu, huyu hakuna kitu itafanya useme yeye si taip yako aki, labda sasa tuseme ikue hii jamaa inaitwa mkenya ikue imepea yeye ukimwi juu ya vile hawesi ondokea maku. Kwa sasa tuzodishe maombi juu ya nchi yetu 😌
Lakini kama hujawahi tumia simu inahang properly kweli hujui mateso. Kuna siku nilikua natumia simu ilikua inaitwa Tecno F1 buana kidogo inimalize😭. Ulikua unawasha data inakua moto kama sundus buana. Sasa alafu ukifumgua WhatsApp namna hii inahang mpaka izime ndo uweze kutumia.
@Honeyfarsafi Lakini nyinyi vijana hamuonagi vile hii dem ni mrembo sana aki. Sasa unajua vile sublenya yake iko juu kama mlima kenya, hiyo ni ile unaenjoy hadi mate inamwagika pekee. Mimi sijui nitawahi onja lini hii grunade babes
@polo_kimanii Wacha sasa Nikuambie makosa ile iko hapa ni gani mzee kimani, wewe iko na pesa otas lakini uliamua huwesi nunua hii mafuta ya kutoa hiyo rangi nyeusi namna hii. Sasa jaribu ndio uone vile hii wanawake itakuja kwako tukianza na Eve wa maina. Goodluck mzee
@_MtuTano Kitu tunawesa kumbuka na wewe mtu tano ni ati wewe ni mtu kichwa ngumu ajabu sana. Kazi ya rubani ulikua unaingia namna hii kama huoni kitu juu ya kukunya hii chang'aa wanaita ng'ang'o. Alisema ati wewe ulikua unajibisana na boss yako kila siku. Sasa hata kama ni wewe utajimiss?
@s1ah_wanja Mimi naye nitakumiss sana aki Siah🥲 shida yangu sasa kwako ni ati mimi sikuwahi onja maku👀. Naskiaga uchungu sana kwanza nikikumbuka ile siku niliuona lakini sikufika pale namanga namna ile ile jamaa iliambiwa itaona Canaan lakini haitafika😭. Wacha nione vile tutapanga soon😌