Senior Journalist | Media Personality| Human Rights Activist|
Documentarian | Two times best Journalist in Tanzania (EJAT) | SAUT Almni | Husband & Father.
The guy cuts down a tree but even before he finishes cutting it, he gets tired and rests in the shade of the tree he is cutting down.
Preserve what saves you in any way.
Ukipenda kusoma biblia kama kitabu na si sala,utaifurahia sana.
1.Inafundisha
2.Inatia moyo
3.Inaonya
4.Inaburudisha
5.Inaogopesha na kutahadharisha sana.
๐๐Yote hayo yameunganishwa na nguvu ya Mungu na si Mwanadamu.
Je!na wewe unatumia biblia kama kitabu,sala,au kwa maombi?
Niliwahi kumuuliza rafiki yangu mmoja, "Huwa unaangalia Movies au Series za aina gani",jibu alilonijibu ni; "Siangalii Movie wala serie yoyote",nikamuuliza "Why",akanijibu "Bro,maisha tunayoishi sasa ni movie/series tosha kabisa,sihitaji za kununua au kupewa kwenye flash".
Tukiwaambia hii nchi inatakiwa MAOMBI hamuelewi!
Mpaka MTUBU kwanza! Bila hivyo kila siku Mungu atakuwa anawapa hekaheka tu mpaka mumtazame na kuanza kumtii siyo kuamini ULOZI na UGANGA.
Kila mtu alikuwa na umuhimu wake katika kuuishi na hadi kuumaliza mwaka 2023,wapo waliokufanyia roho mbaya mambo ya hovyo,wapo waliokutia moyo,waliokukatisha tamaa,wote hawa walikuwa muhimu kukufanya hata 2024 uone tayari umeimaliza.
Happy New Year 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema bado wanahisi kuna miili zaidi ambayo haijapatikana kutokana na maporomoko ya matope yaliyotokea jana Desemba 3,2023 Hanang' mkoani Manyara ambapo mpaka sasa waliopatikana miili imefikia 63.
@pvtrick_koe Bon hii umeenda Chaka tena la msitu wa Cambodia,unanijua Tembo Nickel???
Yaani hapo Mzee Mroto anakula mara tatu ya mshahara wa u-RPC,halafu ni meneja siyo mlinzi,hakeshi,anafuatwa nyumbani na gari,ana dereva,ana posho,almost Kila kitu!anachokosa Mroto labda ni rushwa tu.
Leo naomba nijipe likizo ya kupost ama kucomment chochote mitandaoni,maana kuna jambo la hovyo linaendelea,na Mimi sipendi kutukana,umri wangu umeenda,ila wabongo tubadilikeni sana.
Kuna watu wapo busy muda huu wanajadili matokeo ya Mbeya City na Yanga!Wengi ni Wanawake na Watoto,na wanaume wachache waliohusika pia kujadili mechi Ruvu na Simba.
Mpira ni ajira,kushusha timu daraja bila faida ya matokeo ni ROHO MBAYA.
Tunagawana point kulinda status.