Nimejifunza Jambo Kubwa Kwenye Maisha Ukidhalilishwa Usigadhibike Ukitengenezwa Fitna Usichukie Ukiwekewa Ukuta Usiuvunje Kupita Ukitengenezewa Majungu Umia Lakini Jikaze Mungu Ana Namna Yale Ya Kukufariji Ua Ana Namna Zake Ya Kuwaadhibu Waumizaji. SUBRA NI SILAHA KUBWA.
MWAKA MMOJA NA MIEZI MITATU KWENYE GAME NA NAANDAA EVENT YANGU YA KWANZA MWENYEWE KWENYE UWANJA WOW 🤩 ALHAMDULILLAH 🙏
21/08/2021
AMANI 🏟
ZANZIBAR
TUIWEKE KWENYE KUMBUKUMBU 😎
#WCB4LIFE
VIDEO YETU YA #SUKARI IMEFIKA 200K
NDANI YA MASAA MA 3 THANK YOU SO MUCH TO EVERYONE.
GOMA LA TAIFA LIKO YOUTUBE #SUKARI
GUSA LINK KUTAZAMA SUKARI YANGU
https://t.co/1iia0xx18B