@hilarymbowe_@AmRosalinee Bottom line, wasanii wengi wa bongo, live performance wanafanya kimazoea Sana bila kujua inawashushia credibility wanaonekana studio zinawabeba, hata kama vocally Wako vizuri
@hilarymbowe_@AmRosalinee Wasanii wa mbele wanatumia auto tune kwenye live shows lakini ni kidogo Sana to a point huwezi kujua kama ni auto tune, sababu apart from hiyo wanafanya Sana mazoezi ya sauti ili wasitegemee Sana tuners.
@hilarymbowe_@AmRosalinee@hilarymbowe_ wasanii wengi bongo vocals zao zinakua heavily mixed to a point wakija kuimba live wanazingua. singers wanakua demanded na Mashabiki tusikie vocals zilezile kama kwenye studio version.