@Eric__Bernard Maumivu mwanasimba mnayoyapata ndo yale Chadema huwa wanapata. Lakini Simba wanapewa nafasi hata ya kulalamika. Fikiria unahisi katika maamuzi ya jana umeonewa alafu ukilalamika tuu umetekwa๐๐๐. Unaona maumivu yakee! Na hapo unasikia maumivu ya kuonewa kwa vi-mipira๐๐๐.
@kapeto98@mzeewaminyato Sawa ila taifa letu tusilijenge kishabiki, Hili ni taifa letu wote. Bado tunauhaba wa watu watakaotutoa hapa tulipo na kutupeleka katika maendeleo ya kweli. Elimu, kilimo, afya, miundombinu, siasa safi. Huyo ni kiongozi wa muda mrefu kidogo alikotoka aliacha nafuu?
@kapeto98@mzeewaminyato Kama ni # sawa kula chochote maisha yaende mwanangu. ila kwa uhalisia kundi hili kunamahali limetubakiza nyuma sana. Wanashughulika na vitu vya kuwapa umaarufu wao wenyewe na si kushughulikia matatizo yetu.