JesseClark π£οΈ.
" Tanzania iko nyuma kwa miaka 20 mpaka 30 kwa sababu Tanzania bado inaamini katika vyeti, wakati dunia saiv haipo huko, unakuta mtu anasoma kitu mwaka mzima darasani wakati unaweza tumia mitandao kwa sasa ukakisoma hata kwa wiki moja."
" Bado unakuta watu wanasoma ma theory na kuyakariri, sasa unajiuliza hayo matheory yanakusaidia nini maishani kwa sasa?"
-------------------------------
Wakuu jamaa unakubaliana nae ama hukubaliani nae haap?
@Sirajitz1@kichefuchefuu Kimsingi yuko sahihi .. binafsi nmesoma pharmacy miaka miwili lakn mwaka wa pili nlikua na supp nmefungua dldm ili niendeshe maisha kwa elim ya chet cha mwaka mmja wakija wakaguzi wanalifunga duka wakati addo kasoma miez miwili anaruhusiwa 7bu anacheti