@rollymsouth Kwahyo wanaharakati mpo kibiashara zaidi,Yani tabu za waTanzania mnalipwa mchochee??!lolote liwakute mbwa nyie mnawaingiza wenzenu mkenge ambao hawapati hata mia wanaishia kupata ulemavu na kukosa uhai,pumbavu zenu
@TZWaziriMkuu Heri ya mwaka mpya Mheshimiwa Waziri mkuu,Sisi wananchi wa Goba Mpakani mtaa wa Badilika tangu huu mwaka 2026 hatupati maji ya Dawasa,mabomba yapo yanatoka kutu na Bill zinakuja TSH 0.00 tunaomba Tusaidie Mheshimiwa @mwigulunchemba1@mwigulunchemba1
@mshambuliaji Maulid mwambie tuna eneo la familia wazee wanauza hapo hapo Africana ikiwezekana nichek inbox nikupe contacts na more details,very potential area.
@joshuamsuyatz Acha bullying na body shaming ndugu hakuna faida utakayoipata,Na ujue hii NI dunia na Mungu sio mjombaako anaweza kukupa hata wewe Hali yoyote aitakayo na muda wowote autakao,so shut the fuck up and stop body shaming others.wapo wembambaa na Wana hayo maradhi