Inawezekana umechoshwa sana na mambo unayopitia katika maisha yako. Ila Neno la Mungu linasema “Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu hata milele” Omb 3:31-33. Ujapo huzunika , atakufurahisha tena. Leo ujiambie nafsini mwako “NITAFURAHI TENA” na mimi ninakuombea Mungu akufurahishe tena.
Additionally, the participants were highlighted on campaign skills, how they can build well-developed strategies to engage with their voters, and public speaking skills to properly build confidence in facing the public(voters)
#MabintiUchaguzini@Fussi2015@sentellbarnes
Lead Facilitator Mr Ahmed Khalfan took the participants on the LGA Leadership structure & LGA elections regulations.
He also highlighted on the concept of the qualities of a good leader and the basic criterion for people to contest leadership positions at the local level.
KWIECO in collaboration with @FNF_Africa under the SAFE COMMUNITY PROJECT are conducting training to 40 women of Karansi ward in Siha District to enhance their legal understanding on legal consequences of FGM, take collective actions to abandon it and engage in other activities.
@CanadaTanzania Tunawashukuru sana timu nzima ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Canada nchini Tanzania kwa mchango wenu kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia wanaoishi kwenye nyumba salama ya KWIECO. Mmeweka alama kubwa ambayo haitafutika. Mungu awabariki sana🙏
Three-day training on human rights, gender inclusion, and advocacy skills which was organized by KWIECO in collaboration with @FNF_Africa has ended. A total of 40 clan leaders from Maasai, Meru and Waarusha community from Karansi ward in Siha district participated.
Ukiwa mwenye haki, Kila utendalo litafanikiwa na utazaa matunda yako kwa wakati na wala hautanyauka (Zab 1:3)
Asubuhi ya leo ninakuombea Baraka za Mungu ziambatane nawe, na nguvu zake zikutenge na kila mauti katika maisha yako na kazi za mikono yako.
Akupe kustawi sana. Amen
This morning three #VijanaWachambuzi Elizabeth Mashimba, @AgathaMali70060 Agatha Maliyawatu & Engineer Aisha Msantu spoke on TBC1 Radio Jamii Dodoma providing feedback to the public of their participation in Parliamentary Public hearing for 3Bills on Political-Electoral reforms
#Onbehalf of @IRIglobal@IRI_Africa Tanzania Resident Program Director @sentellbarnes Jan 10 in Dodoma I received the Certificate of Appreciation from Dodoma Youth Development Organization @DOYODO_TANZANIA as represented by its Executive Director Mr. Rajabu Juma Suleiman
#VijanaWachambuzi - final round of great series of advocacy activities for the Youth-Lens Analysis on three Bills of Political and Electoral Reforms in Parliament, Dodoma. @USAIDTanzania@IRIglobal
At Pius Msekwa Hall this morning #VijanaWachambuzi (Youth Reform Analysts) will present their opinions on the Youth-Lens Analysis of 3 Bills on political and electoral reforms before the Parliamentary Standing Committee on Governance, Constitutional and Legal Affairs.
Tunashauri marekebisho ya kifungu cha 9(2) aya (d) yafanyike ili kuruhusu uwepo wa Wajumbe wawili watakaoteuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia na umri usiozidi miaka 35 ili kuongeza ushiriki wa kijana katika tume. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Ninawakaribisha watu wote kushiriki pamoja nasi katika Ibada ya Mkesha wa Mwaka mpya itakayofanyika @KKKT_KIJITO (Kijitonyama Lutheran Parish) Usiku wa Tar 31/12/20123 hadi 1/1/2024. Karibuni wote.
Vijana Tunapendekeza yafanyike marekebisho
madogo ya Katiba ya #TANZANIA
ibara za 66, na 67 ili Muswada wa uchaguzi uweze
kutenga angalau kila Chama Cha siasa kiwe na 20% ya wagombea wake wa Ubunge na
Udiwani vijana wenye umri kati ya
miaka 18 na 35 #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Tunapendekeza yafanyike marekebisho
madogo ya Katiba ya TANZANIA
ibara ya 66 na 67 ili Muswada wa uchaguzi uweze
kutenga kila Chama Cha siasa kiwe na
20% ya wagombea wa Ubunge na
Udiwani vijana wenye umri wa
miaka 18-35. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi#Vijanawachambuzi
Mchana wa leo jijini Dodoma #VijanaWachambuzi wamekutana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge na Uratibu, @OWM_SBU Dr. Jim James Yonazi na kufanya mazungumzo yenye tija kwa Taifa