The secret of your comeback is hidden in your daily routine. God will maintain your energy for the distance if you can decide today to turn your failure into a life lesson...!!!
Home of Changes
House of Hope
The star of the Sea
The beginning of an era
Finally a place we could call HOME
FREE GENERATION PRE AND PRIMARY SCHOOL SHANTYTOWN
#TheChoosenGeneration
Unalaumu nani wakati wewe ndie uliamua kuoa mwanamke ambaye.
1. Chupi zake hafui kila anapooga anarundika kama nguo.
2. Kanisani haendi hata kwa bahati mbaya.
3. Club ni sehemu ya maisha yake.
4. Pombe anakunywa na kuona kawaida.
5. Kuvaa nguo zinazoonyesha maungo yake ni kawaida.
6. Alikuwa anajibizana na wewe pale anapokosea na unamrekebisha.
7. Alikuwa anakupelekesha na hakuwa akijishusha kwako kwakuwa anakipato.
8. Yeye ndie aliamua umuoe.
9. Mlikuwa mnakula mgahawani na yeye yupo asingeweza kukupikia.
10. Anamajukumu toka asubuhi mpaka jioni.
11. Nguo hafui anaita mama fua.
12. Pesa anatumia kama kitu cha kawaida kinachopatika kwa urahisi.
Dada sura yako nzuri haisaidii kitu Kama ndani ya nafsi yako Umebeba roho la kishetani jua wee nae ni mbaya tu maana uzuri na ubaya wa kweli upo ndani ya nafsi ya mtu huu wa nje ni tunajiongopea tu 🤔 .
What we learn
Kila mmoja and njia yake ya mafanikio... unaweza jifunza toka kwake.. anaweza kukuelekeza lakini haimaanishi utafanikiwa kama yeye..
Usiache kujifunza
Usiache kujibiidisha
Usiache kumuamini Mungu
We try again this week, as if we know no pain, as if we know no disappointment,we try again this week with a bag full of prayers and seams bursting with faith.
Misa ya watoto Tamu sana ila ugumu ni pale wakati wa mahubiri Wana script yao... yaani padri hataki elewa Kuna watu wazima.huko mnapelekwa kitototo kwa dk 45..!😅