@MariaSTsehai@Nnauye_Nape@TumeUchaguziTZ Mimi kwa uelewa wangu kiswahili kupita bila kupingwa maana yake uchaguzi uliitishwa, ila akakosa mshindani wa kushindana nae!@MariaSTsehai
@kigogo2014 Yeye amekwisha kufa hajui lolote hapo alipo!!! Ila Mimi nawewe tunajua kuwa ipo siku tutakufa!! Hebu tujiandae maana logo lipo!!! "A prisoner is free than that who is outside it, because the outsider fear to be prisoner"
@kigogo2014 Yule Mzee JPM alisema nchi ni Tajiri, tukambeza na kumkashifu kwa maneno mengi sana, Ila Leo kwasababu mzungu kasema, tunamuunga mkono, hebu tuacheni mambo haya!! Hata Waafrika wako sawa, let's appreciate their contribution.
@kigogo2014 Hivi maombi yetu Si yalikua tumpate rais chuma!??? Nakumbuka JK alivyokuwa anatukanwa, mpaka akaambiwa yeye ni regerege na serikali yake ni regerege inashindwa kukusanya Kodi!!! Leo tunamshambulia JPM !!!!!
@RealHauleGluck Hii pia ni kinyume na haki za binadamu, pale unapotaka kumpangia mtu ashabikie chama unachokipenda wewe hasa kwa mwanaharakati kama##fatumakarume
@kigogo2014 Hivi Uhuru wa siasa, haupo?? Mimi naona Mond ana Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama Fulani, na ni haki yake, hizi zingine ni chiki binafsi, wakati Fulani tuwe tunakubari matokeo ya baada ya uchaguzi sio kila wakati kulalanika tu