😂😂 Kama Salam ya Diamond #Komasava imeleta vita ya mapinduzi najiwazia tu hapo katusalimia tu ndo mambo yako hivi😂 je akitufungulia ukurasa wa alichotuletea 😂😂🔥
Ukijaaliwa kupata mwanamke ambae, Ukiongea ananyamanza, Ukimuelekeza kitu anafanyanya, Ukimkataza kitu anakutii, Brother Oa huyo mwanamke ni Zawadi kutoka mbinguni narudia tena OA !!.
Kama mtu anasaliti team yake ya mpira kwa sababu ya kufungwa msimu mmoja tu
Huyo ataweza vumilia kuishi na mke hadi milele?
Wazingatieni hao watu 🤣
🦁 x 🐸
Tulipofikia tunatakiwa tusilazimishe watu watupende ila tunatakiwa kuishi na kufanya tunayoyapenda kwakua nilazima tuyafanye kikubwa isiwe jambo la kumdhuru mtu ✌️❤️
Wakati unalia kwa kuhisi umepoteza kitu kizuri basi ujue Mungu atakuletea kilicho bora na ulichostahili
Vyote vinavyoondoka basi ujue havikustahili kuwa kwenye maisha yetu 🙏🙌✌️
Oyaa Sali
Mungu atakunyima wakati wote , hata katikati ya maumivu na mateso anaweza kuirejesha tabasamu
Hivo Tutashukuru kwa nyakati zote
hata tunapopoteza kile kinachotupa furaha kwa wakati huo 🙏🙏
Kuna watu tunaroho nzuri kwasababu ya malezi tuliyolelewa na maisha magumu tuliyopitia na kujifunza kuhusu dinia na maisha yake , Acha kuhisi unatumudu au kutuweza sana , Kuna watu huwa hawapendi kuona wenzie wakisononeka au kuumizwa na jambo🙏🙏 . Nahatuna roho za malipizi 🙏🙏