@JayleenRickie Jayleen nakuheshmu sana wewe ndo tweep namba 1 kwangu ila unaleta maadili mabovu kitu ambacho sio vizuri kwenye jamii ya twitter hao followers wako wengi bila kuleta hiyo video hapa tuenjoy wote Tuangalie tutoe majibu kama ni yeye au sio unatuangusha tafadhali leta video hapaπ
βTukimfunga Leeds zinabaki point 5 alafu wao wanacheza na Brentford atawakazia then sisi tutashinda na Leeds tena zinabaki point 2 mechi ijayo anacheza na Man city atafungwa sisi tutashinda tunampita π β
-Alisikika mlevi mmoja wa nyumbu.