SERIKALI YA TANGANYIKA ITALINDA MASLAHI YA WATANGANYIKA .
Kuna Maslahi ya Zanzibar katika Muungano maana yake kuna Maslahi ya Tanganyika katika Muungano. J
Tuna ihitaji serikali ya Tanganyika kuliko wakati mwingine wowote. Muungano wa kweli ni wa ama serikali 3 au Serikali 1
Sometimes we find entertainment in the Tundu Lissu case. Such as when Lissu chided the prosecution for failing to protect their own witness after all the efforts to hide his identity! On other occasions it's just humour, eg when a witness said he didn't know the charge against Lissu!