#Neno...NI WAKATI WAKO, IT'S YOUR TIME!! 1 Samweli 16:10-13...Wakati wa Daudi kuinuliwa ulikua umeshafika, ilibidi babake atumane ili aitwe kutoka malishoni. Wakati wako ukifika itabidi utafutwe, may this be your portion in Jesus Name, Amen! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
#NenoLaMamaTaifa...JENGA JUU YA MWAMBA IMARA! MATHAYO 7:24-29
unapojenga juu ya neno la Mungu na njia zake, dhoruba zikiingia utasimama imara. Usifanye uovu kuwa mwamba wako maana utaanguka. You will never go wrong when God is your foundation. Tukutane Galilaya! #Radio47Jumapili