Kwa marlezo zaidi bora na yenye kutosheleza fika ofsini kwetu.....mwanakwerekwe saa za kazi kuanzia saa 2 asubuhi had saa 9 jioni....kwa siku za jumatatu hadi jumamos....fika deta kwa huduma bora na salama kwa nyumba yako na ofisi yako.
Nyote mnakaribishwa..huduma zetu ni nafuu sana na zenye ubora..tuna husika na maswala yote ya umeme kama vile..
Wiring installation...fiting majumbani na maofisini.
Cctv camera sehemu zote.
Fans security..light security.
Maintanence sehem zote..na nyengine nying.
Welcome Dayati elecrical tanzania assistance DETA...umeme na usalama....kwa huduma bora na nafuu waone DETA https://t.co/PO6w8xf17e...tupo mwanakwerekwe zanzibar jengo la zssf pbz bank horofa ya kwanza.