WAKATI KAMPENI ZA KUMCHAFUA HECHE ZINAFANYIKA, KAZI YA KUMSAFISHA NA KUMTETEA TULIACHIWA WANAHARAKATI.
Sikuona viongozi Chadema wala nani wakinyanyua mdomo kumpambania.
Ni wanaharakati na wananchi (ma keyboard warriors) ndio tulipambana mpaka project ikafa kifo cha Mende. Tulipambana mpaka CCM wakasitisha project.
Tumetofautiana now sababu mmetaka kutuletea upumbavu wa kumpa pole muuaji wa Watanganyika, tumecharuka na kukataa sasa mnasema wanaharakati wanawagombanisha or wanaharibu.
Aisee ni hivi, mkituletea siasa za Mbowe tutapiga ukunga mpaka Kenya wasikie.
Watu wameuliwa kama kuku Octover 29, wana hasira, wana uchungu, then mje kusema tumuonyeshe huruma alietuua, tukampe pole badala mtupe motisha ya kupambana zaidi kupigania damu za ndugu zetu. HAPO MTAGOMBANA NA WANAHARAKATI KILA SIKU ASUBUHI.
SISI WANAHARATI NDIO TULIINGIZA WATU BARABARANI OCTOBER 29, SO HATUTAKUBALI WANASIASA MLETE USANII NA JANJA JANJA KWENYE ROHO ZA WATU KUPATA HAKI!!!!
USHAURI WANGU KWENU CHADEMA, kama jinsi nyinyi upinzani mnvayoisimamia serikali na kupambana nao ili wakae kwenye mstari kwa manufaa ya wananchi na sisi wanaharakati mtuangalie hivyo hivyo . We are not your friends and we don’t want to be , sisi ni marafiki wa wananchi na tunahakikisha wanasiasa hamuwachezei akili ie siasa za Mbowe hatutaki, tunataka siasa alizosema Mwenyekiti wenu, siasa za mshike mshike!!!!
@mangekimambi Sasa kosa lipi hapo, na kuambiwa alichat na Heche itakuwaje, maana alifuatwa ili akubali marudiano, waliongea vipi, mbona uko busy sana na LEMA, BONI, SUGU, we ndio mkamba asali ili uwe chama
@Sativa255 Achana na wajinga, usijibu kila neno unalodingiziwa, mbona hawasemi TAL aliyetuma ujumbe, leo dada yenu anasema mpaka familia ya lisu dadake na kakake hivi huyu ana kosa kuwasiliana nao? CDM take 😘💅
@mangekimambi Hakuna kosa lolote hapo, lisu alituma pole kama yeye sio chama, unaumiza chama pasipo sababu, kwani ukiyameza kuna tatizo gani, kwa hiyo maana yake sasa CDM wasifanye lolote bila cocosultation yako? Alafu kaongeza lisu Lema kakosea nini, je akisema alimtumia? Hii ni isharambaya
@Sativa255 Lisu hakuongea na Heche, Aliongea na naibu Zanzibar na ndio alitikia, mnavurugana bure, kuna kosa kupeleka ujumbe ambao mwenyekiti amesisitiza mara tatu?, kwani mkichikuwa nchi mtalipiza kisasi kwa wote si balaa hili, mkristo tumeambiwa, wamependeni maadui zenu,Mandera ?
@GwamakaMbughi Kwa hiyo kuna wenye akili za kumuelewa lissu na wajinga tusiomuelewa , ina wengine mko ndani ya ubongo wake, juzi tu mliwatukana TEC na lissu ndoa wakulaumiwa kama kweli mkoa serious
@HildaNewton21 Hamna uchambuzi, hapa mnasema TAL aliyetamka sio Lema, mnakuwa mambo mpaka unaharibu, sio kitu kizuri, sasa utambue TAL alikuwa anatuma pole wapi?