@frediejustine Uwaziri unatakiwa ushikwe na professionals
Imagine now mtu Ni doctor wa binadamu alafu anawekwa waziri wa utalii,jamani tumuombe Mungu atusaidie tufunguke akili tuweke mambo sawa
@English65488451 @vicensiashule Pia kumbuka apo apo katiba inasema rais anauwezo wa kulivunja bunge mda wowte ule yani wanakuwa ata kula za kutokuwa na imani na raisi awajatumbukiza kwenye vibakuli bunge limesha vunywa
โWe are very happy to partner with Africa Reproductive Care Society to provide scientific and clinics training to African Doctors and Embryologists & build advocacy to break infertility stigma.โ
Senator, Dr. Rasha Kelej
CEO Merck Foundation
https://t.co/Np7e2XdMIN
@Hombyjr1 Shida Ni Hilo joto na mafoleni ya buguruni temeke๐๐๐๐
Dar iko mbezi beach mpaka bunju walau,na goba na madale wengine wote wanakaa kwenye mateso.
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umewakumbusha Raia wote wa kigeni wataosafiri kwenda Marekani kwa njia ya anga kuanzia leo Jumatatu November 08, 2021 kwamba watatakiwa kuonesha uthibitisho kuwa wamepata chanjo kamili ya covid 19 na cheti cha kuonesha kuwa hawana Covid 19.